- Hutayarishwa na waziri kwa uongozi wa mwanasheria mkuu wa serikali.
- Utangazwaji wa muswaada wa serikali katika gazeti la serikali ( hazipungui siku 21)
- Upelekaji wa muswaada katika gazeti la serikali ( kamati huanza kuufikiria muswaada)
- Usomaji wa kwanza bungeni. ( muswaada huongelewa, hujadiliwa, na kupigiwa kura. Wajumbe wanaweza kushauri mabadiliko)
- Upelekaji wa muswaada kwenye kamati mara ya pili. Mabadiliko yaliyoshauriwa hufikiriwa ( usomaji wa pili)
- Idhini ya raisi.
Saturday, May 26, 2012
JINSI MUSWAADA UNAVYOKUWA SHERIA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment