imetolewa na wizara ya afya na ustawi wa jamii |
WIZARA YA AFYA NA
USTAWI WA JAMII INAWATANGAZIA MADAKTARI WOTE WANAOFANYA MAFUNZO KWA VITENDO
(INTERNS), WALIOPEWA BARUA ZA KURUDISHWA KWA KATIBU MKUU WIZARA YA
AFYA NA USTAWI WA JAMII, WANATAKIWA KURIPOTI MAKAO MAKUU YA WIZARA YA AFYA NA
USTAWI WA JAMII IFIKAPO SIKU YA IJUMAA TAREHE 6 JULAI, 2012.
IMETOLEWA NA:
KITENGO CHA
MAWASILIANO YA SERIKALI
3/07/2012
No comments:
Post a Comment