![]() |
| Gari aina ya Prado lenye namba za usajili T720BUV iliyo kuwa inaendeshwa na mama Edna Sanga ambaye alifariki hapo hapo baada ya ajali hiyo. |
![]() |
| Dereva wa lori lililoigonga prado akiwa amelazwa hospitali ya rufaa jijini mbeya |
![]() |
| msongamano wa magari uliosababishwa na ajali hiyo kutokana na magari kukosa sehemu mbadala ya kupita |




No comments:
Post a Comment