Kikosi cha timu ya taifa chini ya miaka 20, ngorongoro heroes kinachotarajiwa kuwavaa vijana wenzao kutoka nigeria |
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeteua waamuzi kutoka Kenya kuchezesha mechi ya raundi ya pili
kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Afrika kwa vijana wenye umri chini ya
miaka 20 kati ya Tanzania
(Ngorongoro Heroes) na Nigeria.
Mwamuzi atakayechezesha mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya pili
itakayofanyika Julai 29 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam atakuwa Moses Ojwang Osano.
Waamuzi wasaidizi watakuwa Peter Keireini na Elias Kuloba Wamalwa
wakati mwamuzi wa mezani (fourth official) ni Thomas Onyango. Kamishna wa
mechi hiyo atakuwa Charles Masembe kutoka Uganda.
Pia CAF imemteua Alfred Kishongole Rwiza wa Tanzania
kuwa Kamishna wa mechi ya michuano hiyo kati ya Misri na Kenya itakayochezwa jijini Cairo kati ya Julai 27, 28 na
No comments:
Post a Comment