FOLLOWERS

Tuesday, July 3, 2012

UKUSANYAJI MAONI KUHUSU KATIBA MPYA

Mjumbe wa tume ya kukusanya maoni juu ya katiba mpya, Salim Ahmed Salim akifafanua jambo kwa wananchi juu ya utoaji wa maoni yao kuhusu katiba mpya

Wajumbe wakiendelea kutoa maelekezo kwa wananchi kuhusu utoaji wa maoni, hapa ni Ndugu Sengondo Mvungi

Mwananchi wa Kijiji cha Mzuri Makunduchi Duli Ali Duli, akichangia maoni yake kwa Tume iliofika kukusanya maoni ya Wananchi kuhusu Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania, amesema kuwe na Serikali mbili ya Zanzibar na Tanganyika, na kuondoa kasoro zilioko katika Muungano huu.
Kazi ya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu katiba mpya imeanza huku zanzibar katika mkoa wa kusini unguja na mkutano unaonekana katika picha umefanyika katika shule ya mtende

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...