| ||||
Mwanamuziki Beyonce Knowles akiwa katika pozi katika moja ya maonyesho huko jijini New York |
mchezaji wa timu ya soka ya LA GALAXY ya Marekani David Beckham akipata chakula cha mchana na mama yake mzazi |
Katika maeneo mengi ya tanzania majengo kama haya yanatumika kama sehemu za kuuzia vyakula |
Utumikishwwaji wa watoto katika shughuli za shamba kama inavyoonekana katika picha bado ni tatizo katikamaeneo mengi barani afrika |
Barabara nyingi amabazo huingizia serikali mapato huko vijijini bado ni mbovu na hazipitiki wakati wa masika |
Mmiliki halali wa blogu ya so2 knowledge platform bwana fredy Julius akiwa katika shughuli za uzalishaji mali ( kilimo kwa jembe la mkono) |
picha ya unyayo wa maajabu |
Mwanamuziki wa hip hop kutoka Tanzania Nas wa Kitaa katika picha inayoonyesha wimbo wake mpya |
Askari wa kike kazini |