Baadhi ya bidhaa zinazopatikana mnadani zikiwa zimetandikwa chini kwa ajili ya wananchi kununua kwa bei nafuu zaidi |
Wanafunzi wa shule ya seondari J.J Mungai wakijipatia mahitaji yao katika mnada kama wanavyoonekana katika picha |
Baadhi ya bidhaa |
wananchi wakiendelea kujipatia bidhaa |
shughuli zikiendelea |
Umati wa watu waliofika mnadani jumapili ya tarehe 3 mwezi wa sita |
kila mtu yuko bize akitafuta kile anachokitaka katika mnada |
No comments:
Post a Comment