Mbunge wa jimbo la bahi kwa tiketi ya CCM Mheshimiwa OMARY AHMED BADWEL
TAKUKURU inamshikilia mbunge wa jimbo la bahi mkoani Dodoma ndugu Badwel kufuatia tuhuma za kupokea fedha kiasi cha shilingi milioni moja (1) za kitanzania kutoka kwa kiongozi wa serikali ambazo zinadaiwa kuwa ni za rushwa
No comments:
Post a Comment