![]() |
| Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye foleni kwa ajili ya kwenda kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu GIVEN KINYAGA nyumbani kwao maeneo ya pipe line Mafinga |
![]() |
| Baadhi ya waobolezaji waliojitokeza msibani wakiwa tayari kwa safari ya kuelekea kanisa kuu la KKKT Mafinga kwa ajili ya ibada ya kuuombea mwili wa marehemu GIVEN KINYAGA |
![]() |
| Kanisa kuu la KKKT Mafinga watu wakingojea ibada ya kuu ya kuuobea mwili wa marehemu imalizike ili kuelekea makaburini. |
![]() |
| waombolezaji wakiwa tayari kwa kuondoka kuelekea makaburini |
![]() |
| Jeneza lililobeba mwili wa marehemu GIVEN KINYAGA likiingizwa ndani ya kaburi tayari kw kumpa pumziko la milele katika makaburi ya MET mafinga |
![]() |
| Na hili ndilo kaburi la marehemu GIVEN KINYAGA |





