FOLLOWERS

Thursday, August 23, 2012

SHULE YA LUKUVI YAPEWA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO NA PPF


Mbunge Wiliam Lukuvi (kushoto) akipokea vifaa vya michezo jezi na mipira ambayo PPF imeitoa kama wajibu wake wa
 kushirikiana na jamii kulazimika kutoa vifaa hivyo na vingine kwa shule ya sekondari vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya TSh. milioni 6.8Mbunge Lukuvi akifurahia vifaa vya PPF vilivyotolewa jimboni kwake

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...