FOLLOWERS

Friday, August 3, 2012

HII YAWEZA KUWA ATHARI YA KUWALAZIMISHA WALIMU

Anaonekana ni mwalimu wa shule fulani ya msingi. Nadhani ameama kufanya hivi akionesha kuwa yupo kinyume na uamuzi wa serikali kusitisha mgomo wa walimu kwa kudai kuwa ulikua batili. Hivyo walimu wote Tanzania walitakiwa kurudi kazini na kuendelea na kazi kama kawaida.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...