![]() |
| Askofu mkuu wa jimbo la songea mhashamu Norbet Mtega akipokea maandamano ya watoto wa shirika la mtoto yesu katika kanisa kuu la hija jijini mbeya |
![]() |
| watoto wa shirika la mtoto yesu kanda ya kusini wakiwa katika maandamano ya kongamano la utoto mtakatifu wa yesu jijini mbeya |
![]() |
| watoto wakiendelea na maandamano |
![]() |
| watoto wa shirika la mtoto yesu kanda ya kusini wakiwa wameshika bango lenye maandishi yanayohusu kongamano lao jijini mbeya |




No comments:
Post a Comment