![]() |
| darasa ambalo linatumiwa na kidato cha sita katika moja ya shule za sekondari nchini kama linavyoonekana likiwa limeharibika sakafu..hii ni sehemu kidogo tu ya sakafu hiyo |
![]() |
| darasa likiwa na mipasuko na michimbuko katika sakafu, hapa ni kipindi ambacho walimu walikuwa katika mgomo hivyo kusabbaisha mahudhurio hafifu darasani |
![]() |
| moja ya mchimbuko uliopo katika darasa hilo |



No comments:
Post a Comment