FOLLOWERS

Sunday, August 12, 2012

ELIMU YETU : CHEKI DARASA LILILOEZEKWA TURUBAI

WANAFUNZI WAKIWA DARASANI WAKIENDELEA NA MASOMO KATIKA DARASA AMBALO LIMEJENGWA KWA MITI MAARUFU KAMA FITONA KUEZEKWA KWA TURUBAI.INASADIKIKA KUWA DARASA HILI LINAPATIKANA WILAYANI NKASI MKOA MPYA WA KATAVI AMBAKO NDIKO ANAKOTOKEA MTOTO WA MKULIMA(Huku ni Karibia na Nyumbani kwa Mtoto wa MKulima A.K.A TZ PM mkoani Rukwa ama tuseme Wilaya ya Nkasi ambapo watoto wa mkulima wanasomea kwenye darasa lililoezakwa kwa turubai. Kuna kila sababu ya Serikali sikivu kuanza kuangalia kwanza shule za pembezoni hususan vijijini ili kutatua kero zake kabla ya mambo mengine. Mwaka huu Bajeti ya Elimu inaweza kuziba haya mapengo kweli na kama haiwezi kwa nini Serikali iendelee kutenga kasungura kadogo kwa wizara huska wakati jahazi linazama---TUTAFAKARI!!!! ( KUTOKA FACEBOOK)       

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...