![]() |
| mwenyekiti aliyemaliza muda wake bwana Emma Nziku "MADOKUMENTI" wa kwanza kushoto akiwa pamoja na wajumbe wake wa kamati ya utendaji iliyomaliza muda wake hapo jana tarehe 06.07 |
![]() |
| Baadhi ya wafanya biashara wa soko kuu mafinga waliofika uwanja wa mashujaa kwa ajili ya zoezi la uchaguzi |
![]() |
| Mwenyekiti mpya wa soko kuu la mafinga bwana Julisti Kisoma akiwa ameketi na wajumbe wa kamati ya utendaji ya soko mara naada ya kutangazwa rasmi kuwa washindi katika uchaguzi huo |





No comments:
Post a Comment