Mbunge wa Bahi mheshimiwa Omary Badwel akiwa chini ya Ulinzi wa polisi alipofikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam |
Tume ya kudhibiti na kupambana na rushwa Tanzania (TAKKURU) leo ilimfikisha mahakamani mbunge wa jimbo la bahi kwa tiketi ya CCM ndugu Omary Badwel kufuatia kukamatwa jana katika hotel kwa tuhuma za kudai na kupokea rushwa kutoka kwa mkugenzi wa halmashauri moja ya wilaya hapa nchini.
No comments:
Post a Comment