![]() |
| Modern teacher katika pozi |
![]() |
| Iringa baridi kali, kijana akiwa ndani ya koti kwa ajili ya kujisitiri na baridi |
![]() |
| Shule ya sekondari ifunda tech ambako MWALIMU TARAJARI STANLEY MWENDA ALIKUWA AKIFANYA MAFUNZO KWA VITENDO |
![]() | ||||||||
| Wanafunzi wa shule ya sekondari na ufundi ifunda wakiwa kwenye chumba cha mtihani ambapo MWALIMU STANLEY MWENDA alikuwa akisimamia mtihani huoo |
![]() |
| Mazoezi kwa afya, kijana akijiweka sawa kuichezea timu ya walimu wa shule ya sekondari ifunda tech alipokuwa akifanya mafunzo kwa vitendo ( field} |
![]() |
| Busy with friend preparing for future |
![]() |
| Mapumziko baaada ya kazi, kijana akiwa matembezini akishanga shangaa barabara ya lami maeneo ya ifunda baada ya masaa ya kusumbuana na wanafunzi kuisha |






