FOLLOWERS

Thursday, August 23, 2012

YANGA WATEMBELEA MAKABURI YA MAUAJI YA KIMBARI YA MWAKA 1994

Hapa wakipata maelezo kutoka kwa mmoja wa maofisa wa Jumba hilo la Makumbusho, kabla ya kuingia ndani.

Wachezaji na viongozi wa yanga waiwana mashada ya maua kwa aajili ya kuweka katika makaburi hayo

 Mwenyekiti wa timu ya Yanga, Yusuph Manji (kulia) Mama Karume (katikati) na baadhi ya viongozi wa timu hiyo, wakiwa wamepozi wakati wakisubiri utaratibu wa kuingia katika jumba la Makumbusho ya mauaji ya Kimbari ya mwaka 1994, yaliyotokean nchini Rwanda. Timu hiyo iko nchini Rwanda kwa mwaliko wa Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ambapo pia itacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu na timu za nchini humo ikiwa ni sehemu ya mazoezi ya kujiweka sawa na kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu inayotarajia kuanza Septemba 15, mwaka huu.(KWA HISANI YA SUFIANI MAFOTO)

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...