FOLLOWERS

Wednesday, August 22, 2012

TANI 3.5 ZA BANGI ZATEKETEZWA ARUSHA

Zaidi ya tani tatu na nusu ya madawa ya kulevya aina ya bangi yameteketezwa na jeshi la polisi mkoani Arusha katika kukamilisha operesheni ya kupambana na uhalifu na madawa ya kulevya inayoendelea mkoani hapa kwa mujibu wa mrakibu wa polisi na kaimu kamanda wa jeshi hilo mkoani hapa Zuberi Mombeji alisema kuwa zoezi hilo ni endelevu na kuwataka wananchi mkoani hapa kutoa ushirikiano katika kutokomeza vitendo vya kihalifu.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...