FOLLOWERS

Wednesday, August 22, 2012

CHAUMA : CHAMA KIPYA CHA SIASA

Chama kipya cha siasa CHAMA CHA UKOMBOZI WA UMMA "CHAUMMA" KIMEANZISHWA NA INAAMINIKA KUWA Ofisi hizo zipo katika jengo la alyekuwa Mgombea wa Uraisi kwa tiketi ya NCCR MAGEUZI mwaka 2010 Bwana Hashim Rungwe..  PIA INASADIKIKA KUWA Yeye ndiyo mwanzilishi wa Chama hicho cha CHAUMMA.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...