![]() |
| Taxi kama hii ndiyo usafiri maarufu katika stendi ya mufindi kwa safari za kuelekea mufindi vijijini, hapa ni stendi maarufu kama "NJIA PANDA YA MUFINDI" |
![]() |
| Shughuli mbalimbali za usafirishaji na biashara zikendelea huku kukiwa na baridi kali kama ilivyo kawaida ya wilaya hii kipindi cha miezi kama hii |
![]() |
| Muonekano wake kwa kutokea upande wa barabara kuu ya Iringa-Mbeya |
![]() |
| Kituo cha mafuta cha Total kilichopo mkabala na stendi hii ya Mufindi |
![]() |
| Shughuli za bodaboda pia zimeshka kasi katika eneo hili kama wanavyoonekana baadhi ya madereva wa bodaboda katika picha |





No comments:
Post a Comment