Wakati baadhi ya viongozi na wabunge wetu wakiomba na kupokea rushwa katika mahoteli makubwa makubwa, wananchi wa vijijini ambao ndiyo wahanga wakubwa wanaendelea kupata vyakulana vinywaji katika vijihoteli duni kama inavyoonekana katika picha ni moja ya mgahawa uliopo kijiji cha ndolezi wilayani mufindi mkoani iringa. |
No comments:
Post a Comment