Katibu wa kamati kuu ya chama cha mapinduzi ( CCM) sera itikadi na uenezi Nape Nnauye
Nape ameiasa bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuwa ina wajibu wa kutoa posho kwa wanafunzi kwa wakati badala ya kungoja wanafunzi kugoma na kuandamana ndipo wafanye hivyo kwani hiyo ni kero isiyoweza kuvumilika. Nape ametamka maneno hayo akiwa huko mkoani Ruvuma ambako upo kwa ziara ya kikazi kwa ajili ya kuimarisha chama.
No comments:
Post a Comment