![]() |
| Makamu wa raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mheshimiwa Mohammed Gharib Bilal akiagana na mwenyekiti wa watanzania waishio brazil baada ya kumalizika kwa hafla ya kula chakula cha jioni |
![]() |
| Makamu wa raisi akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa umoja huo baada ya mazungumzo kumalizika. |



No comments:
Post a Comment