FOLLOWERS

Wednesday, August 1, 2012

AJALI YA GARI IMEUA MTU MMOJA IGOWOLE JANA

Gari ndogo katika iliyowachukua askari wa usalama barabarani ikiondoka eneo la tukio baada ya kumaliza taratibu za upimaji wa tukio hilo la ajali

Matawi ya miti yakiwa barabarani kuashiria kuwa kuna ajali mbele ya safari, eneo la kona katika barabara ya nyololo - kibao eneo la igowole ( kwa mzee nzali)

baadhi ya wananchi waliojitoeza kushuhudia ajali hiyo wakiwa wanatazama baadhi ya alama za michirizi ya damu iliyoachwa katika barabara

sehemu ya barabara ambapo ajali hiyo ilitokea jana jumanne
mtu mmoja ambaye mpaka mwandishi wetu anaondoka eneo la tukio hakuweza kufahamika amefariki jana katika ajali iliyohusisha gari la mizigo aina ya center na gari ndogo katika eneo la igowole wilayani mufindi mkoani iringa, mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo walisema kuwa mtu aliyefariki alikuwa katika gari la mizigo ambapo alidondoka na kugongwa na gari ndogo iliyokuwa inafuata nyuma ya gari hilo

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...